Sunday, 13 December 2015

JE, UNGEPENDA KUIJUA NA HATIMAYE KUJIUNGA NA JUMUIYA YA MARAFIKI WA KINONDONI?

Jumuiya ya Marafiki wa Kinondoni inapenda kuwakaribisha watu wote wanaokidhi vigezo na masharti ya kujiunga na wangependa kuwa sehemu ya Jumuiya. Utaratibu wa kujiunga na jumuiya ni kama ufuatao: -

  1. Nunua fomu ya maombi ya uanachama  kwa kulipia Tsh. 10,000/= kwa kutuma kwenye namba hii 0676 330 338 (Ismail Kagambo) tigo-pesa, ada hii haitarudishwa (non-refundable),
  2. Baada ya kulipia tuma sms kwa namba hii 0712 831 052 ukitoa taarifa ya kufanya malipo husika,
  3. Katibu wa Jumuiya atakuelekeza utaratibu wa kuipata fomu yako ya maombiya uanachama pamoja na maelekezo mengine.
FOMU YA MAOMBI YA UANACHAMA WA JUMUIYA YA MARAFIKI WA KINONDONI.pdf by Jumuiya ya Marafiki wa Kinondoni

NB:
Katibu atakujulisha juu ya hatma ya maombi yako na kukupa maelekezo ya kina juu ya hatua zote zinazofuata ili kukamilisha utaratibu wa kujiunga na Jumuiya ya Marafiki wa Kinondoni iwapo maombi yako yatakubaliwa.

Kama una swali, maoni au jambo lolote kuhusu Jumuiya ya Marafiki wa Kinondoni, tuandikie barua pepe marafiki.kinondoni@gmail.com au tupigie simu  0656 974 983 (Katibu Mkuu).

    No comments:

    Post a Comment