Sunday, 13 December 2015

IJUE KATIBA YA JUMUIYA YA MARAFIKI WA KINONDONI

Jumuiya ya Marafiki wa Kinondoni ni umoja na rasmi na unaongozwa na katiba inayojulikana kama Katiba ya Jumuiya ya Marafiki wa Kinondoni (2015). Katiba hiyo yenye Ibara 8 itakuwa mwongozo wa msingi na itasomwa pamoja na Kanuni mbalimbali na nyaraka nyinginezo ili kutoa ufafanuzi wa masuala mbalimbali. Mtiririko wa Ibara za Katiba ya Jumuiya ya Marafiki wa Kinondoni ni kama ufuatao: -

 IBARA YA KWANZA
JINA, ANUANI NA LUGHA RASMI
1.1. Jina la Jumuiya
1.2. Anuani
1.3. Lugha Rasmi

IBARA YA PILI
LENGO KUU NA MALENGO MAHUSUSI
1.1. Lengo Kuu
1.2. Malengo Mahususi

IBARA YA TATU
SIFA, UTARATIBU WA KUJIUNGA, HAKI, WAJIBU NA UKOMO
3.1. Sifa za Kuwa Mwanajumuiya
3.2. Utaratibu wa kujiunga na Jumuiya
3.3. Haki za Mwanajumuiya
3.4. Wajibu wa Mwanajumuiya
3.5. Ukomo wa Mwanajumuiya

IBARA YA NNE
SIFA ZA VIONGOZI NA MUUNDO WA UONGOZI
4.1. Sifa za Viongozi
4.2. Muundo wa Uongozi

IBARA YA TANO
VIKAO MAHUSUSI
5.1. Vikao Mahususi vya Jumuiya

IBARA YA SITA
MAPATO, UENDESHAJI WA AKAUNTI NA MATUMIZI
6.1. Mapato ya Jumuiya
6.2. Uendeshaji wa Akaunti ya Jumuiya
6.3. Matumizi ya Jumuiya

 IBARA YA SABA
MAREKEBISHO YA KATIBA, UTATUZI WA MIGOGORO NA KUVUNJWA KWA JUMUIYA 7.1. Marekebisho ya Katiba
7.2. Utatuzi wa Migogoro katika Jumuiya
7.3. Kuvunjwa kwa Jumuiya

IBARA YA NANE
KUTUMIKA KWA KATIBA
8.1. Marekebisho ya Katiba
Katiba hiyo inauzwa Tshs. 10,000/=

Kama una swali, maoni au jambo lolote kuhusu Jumuiya ya Marafiki wa Kinondoni, tuandikie barua pepe marafiki.kinondoni@gmail.com au tupigie simu  0656 974 983 (Katibu Mkuu).

No comments:

Post a Comment