Wednesday, 9 December 2015

HERI YA SIKU YA KUZALIWA: DADA JULIANA KITUNDU ASHEREHEKEA SIKU YA KUZALIWA LEO TAREHE 9 DISEMBA, 2015

Wakati Tanganyika ikisherehekea miaka 54 tangu kupata uhuru, Mwanachama na mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya  wa Jumuiya ya Marafiki wa Kinondoni, dada Juliana Kitundu (pichani chini) anasherehekea siku ya kuzaliwa. 

JULIANA KITUNDU

Jumuiya ya Marafiki wa Kinondoni inamtakia mwanachama wake heri ya siku ya kuzaliwa na mwenyezi ampe maisha marefu yenye afya na mafanikio tele! 

Dada Juliana akiwa makini kujdili jambo na Adam Bush





Dada Juliana (mwenye blausi ya njano)akiwa katika picha ya pamoja na Wanajumuya wenzake
Keki itakatwa jioni ya leo na itataarifiwa ni wapi na muda gani!

No comments:

Post a Comment